Video Queen wa Harmonize Amvaa Harmorapa Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ Na IMELDA MTEMA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ- XTRA VIDEO Queen aliyeuza nyago kwenye Ngoma ya Matatizo ya memba wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ aliyejitambulisha kwa jina la amemvaa na kumpa makavu msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Omary Athuman ‘Harmorapa’ akimtaka kuacha kutumia jina la Harmonize kujitafutia umaarufu. Harmonize na Harmorapa Akistorisha na Show Biz Xtra, Glady alifunguka kuwa anachukizwa na Harmorapa kumtumia... Global Publishers Read more Habari Zinazoendana 3 months ago Bongo Movies 17 JAN Video: ‘Pacha’ wa Harmonize, Harmorapa Aachia Video ya Wimbo Wake Mpya ‘Usigawe Pasi’ Msanii wa muziki, Hamorapa anayedai ni pacha wa Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Usigawe Pasi’ aliomshirikisha Em One. Video imeongozwa na Khero One. 3 months ago MillardAyo 17 JAN VideoMPYA: Harmorapa...