Video Queen wa Harmonize Amvaa Harmorapa

Rajab Abdulhan ‘Harmonize’
Na IMELDA MTEMA| GAZETI LA AMANI| SHOW BIZ- XTRA
VIDEO Queen aliyeuza nyago kwenye Ngoma ya Matatizo ya memba wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Rajab Abdulhan ‘Harmonize’ aliyejitambulisha kwa jina la     amemvaa na kumpa makavu msanii chipukizi wa Bongo Fleva, Omary Athuman ‘Harmorapa’ akimtaka kuacha kutumia jina la Harmonize kujitafutia umaarufu.
Harmonize na Harmorapa
Akistorisha na Show Biz Xtra, Glady alifunguka kuwa anachukizwa na Harmorapa kumtumia...

Global Publishers
Read more



Habari Zinazoendana

3 months ago

Bongo Movies

Video: ‘Pacha’ wa Harmonize, Harmorapa Aachia Video ya Wimbo Wake Mpya ‘Usigawe Pasi’



Msanii wa muziki, Hamorapa anayedai ni pacha wa Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Usigawe Pasi’ aliomshirikisha Em One. Video imeongozwa na Khero One.

3 months ago

MillardAyo

VideoMPYA: Harmorapa anaefananishwa na Harmonize ametuletea video yake mpya



Kwenye mitandao siku mbili hizi kumekua na habari za Harmorapa msanii mpya wa bongofleva anaefananishwa kimuonekano na mwimbaji Harmonize wa WCB ambapo kitu kingine kilichofanya awe gumzo mitandaoni ni Msichana mweupe aliyeonekana nae na kudaiwa ndio ‘Wolper wake‘. Tukiachana na hayo, Harmorapa ametuletea hii video yake mpya inaitwa ‘usigawe pasi‘ ukishamaliza kuitazama unaweza kuacha comment […]
The post VideoMPYA: Harmorapa anaefananishwa na Harmonize ametuletea video yake mpya appeared...

1 month ago

Bongo Movies

VIDEO:Harmonize Ataja Sababu za Kutoendana na Wolper, Azungumzia Umaarufu wa Harmorapa


MSANII wa kwanza kusainiwa kwenye Lebo ya Muziki ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platinumz, Harmonize kwa mara ya kwanza amefunguka akitaja sababu ambazo wadau na mashabiki wamekuwa wakinong’ona kuwa haendani na mpenzi wake wanaedaiwa kuachana, msanii wa Bongo Movie, Jacqueline Wolper.

Akipiga stori na Global TV Online, juzi Jumamosi kwenye studio za WCB zilizopo Sinza Mapambano, Dar, Harmonize alisema:
“Kwanza namshukuru Mungu kwa mafanikio niliyoyapa mpaka sasa, nawashukuru menejimenti...

3 months ago

Bongo5

Aliyedai kufanana na Harmonize, Harmorapa aachia video ya wimbo wake mpya ‘Usigawe Pasi’


Msanii wa muziki, Hamorapa anayedai ni pacha wa Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Usigawe Pasi’ aliomshirikisha Em One. Video imeongozwa na Khero One.


Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!Share on Whatsapp

2 months ago

Global Publishers

Baada ya Kumuita Nyani, Iyobo Amvaa Tena Harmorapa


Mose Iyobo na Mpenzi wake Aunt Ezekiel
KIONGOZI wa madansa ambaye ni dansa tegemezi wa Wasafi Classic Baby (WCB) Mose Iyobo amefunguka kuwa yeye hana imani na Harmorapa na anashangaa anavyotajwa kila mahali kwani yeye hajawahi kusikia kazi yake yoyote hivyo hajui uwezo wake kimuziki.
Iyobo aliendelea kwa kutoa povu kuwa yeye anamchukulia Harmorapa kama mtu aliyekurupuka kwenye muziki na hajui ni nini anachotakiwa kufanya.
Kupitia eNewz ya EATV Iyobo alifunguka hayo huku akikazia kuwa muziki...

2 weeks ago

Bongo Movies

Kama Siyo Harmonize, Harmorapa Angekuwa Wapi?


UKIMSIKILIZA kwa makini msanii Rajab Ibrahim ‘Harmonize’ kutoka Lebo ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’, kisha Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni kama unamsikiliza mtu mmoja tu – Diamond.
Harmonize akiwa na Harmorapa
Harmonize ameshindwa kabisa kutafuta identity yake. Ni kweli anajua kuimba, anajitahidi kuvaa na kuishi kisanii, lakini ndani yake anaonekana Diamond. Niseme ukweli kuwa lebo aliyopo ni sahihi na ndiyo maana hata kazi zake ni nzuri.
Tatizo ni namna ya kujitofautisha yeye na Diamond. Kama...

3 months ago

MillardAyo

EXCLUSIVE: Ukweli wa Harmorapa kuhusu undugu na Harmonize, Wolper wake je?



Kwenye mitandao siku mbili hizi moja ya zilizosambaa ni hii ya msanii Harmorapa ambaye ilidaiwa kaambiwa anafanana na mwimbaji Harmonize, kiki ndio ikaanzia hapo… AyoTV Entertainment imempata kwenye Exclusive ili atueleze ukweli wa huo undugu lakini pia kama ni kweli na yeye amemchukua huyo Mwanamke mweupe ili awe ‘Wolper wake‘ bonyeza play hapa chini kutazama […]
The post EXCLUSIVE: Ukweli wa Harmorapa kuhusu undugu na Harmonize, Wolper wake je? appeared first on...

1 month ago

Global Publishers

Exclusive: Harmonize Ataja Sababu za Kutoendana na Wolper, Azungumzia Umaarufu wa Harmorapa


  MSANII wa kwanza kusainiwa kwenye Lebo ya Muziki ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platinumz, Harmonize kwa mara ya kwanza amefunguka akitaja sababu ambazo wadau na mashabiki wamekuwa wakinong’ona kuwa haendani na mpenzi wake wanaedaiwa kuachana, msanii wa Bongo Movie Jacqueline Wolper.
Akipiga stori na Global TV Online, juzi Jumamosi kwenye studio za WCB zilizopo Sinza Mapambano, Dar, Harmonize alisema:

“Kwanza namshukuru Mungu kwa mafanikio niliyoyapa mpaka sasa, nawashukuru menejimenti...

4 weeks ago

Bongo Movies

Harmonize Adaiwa Kumuoneshea Ishara Mbaya Meneja wa Harmorapa Wakiwa Studio


Taarifa iliyotolewa na Kituo cha East Africa Television kupitia ukurasa wao wa Twitter imeeleza kuwa, Msanii kutoka WCB, Harmonize ilikuwa awepo kwenye kipindi cha FNL cha televisheni hiyo usiku huu, lakini ameingia mitini baada ya kumuona meneja wa msanii Harmorapa maeneo ya studio hizo.

Inadaiwa kuwa baada ya kumuona meneja wa Harmorapa, msanii Harmonize amemuoneshea kidole cha kati ambacho hudaiwa kuwa ni ishara ya tusi kisha akaondoka maeneo ya studio hizo.
Aidha Harmorapa amelaani...

Share



Comments

Popular posts from this blog